BUY MY SONGS ONLINE NOW TO SUPPORT MY MOVEMENTS

BOFYA HAPA KUSIKILIZA KAPITA FM RADIO


KINGKAPITA FT. CANNIBAL - VIZABIZANI NEW TRACK

BAADA YA KIMYA KIREFU KINGKAPITA KIJANA MWENYE TALENT YA KUTOSHA MJASIRIAMALI WA MUSIC KARUDI TENA KUTOKEA SOUTH AFRICA KIMASOMO:
KINGKAPITA MARA YA MWISHO ALIACHIA NGOMA HIT INAYOITWA

KINGKAPITA FT. GODIZILLA - KUNATATIZO KWANI???

SASA ANARUDI NGOMA MPYA KABISA CHINI YA STUDIO ZA GRANDMASTER
IKIWA IMETENGENEZWA NA JOHN B PAMOJA NA KANYERIA
KINGKAPITA FT.CANNIBAL SHATTA WA KENYA - VIZABIZABINA
NGOMA NYINGINE ZA KINGKAPITA NI
1.SHIKAMOO PESA
2.MTOTO MLITO
NA HERE WE GO AKIWA NDANI YA WAKACHA KABLA HAJAACHANA NA HILO KUNDI NAKUAMUA KWENDA SOLO
MIMI KINGKAPITA NAOMBA SUPPORT YENU NDUGU ZANGU
KWA MAWASILIANO: INTERVIEW NA SHOW
TELL: 0674588842
EMAIL: bookings.kingkapita@gmail.com au Kingkapita@gmail.com

HULKSHARE LINK:

https://www.hulkshare.com/ay73m0wb78cg

NOW YOU CAN BUY MY MUSIC FROM MKITO.COM